Monday, February 4, 2008

Kuna kila sababu ya kumpenda mwanamke

Wengi wanajiuliza swali huyu mwandishi amerukwa akili nini! Au anawahusudu sana akina dada nini! Ni swali rahisi kujibu bila mama wewe ungekuwepo, utanijibu haaa! We umepagawa, na yeye bila mimi kurutubisha yai angeitwa mama? Sasa nani apewe heshima jamani aliyerutubisha yai au aliyeleta kiumbe hai duniani kwa kukitunza miezi tisa tumboni na baadaye kwa maumivu makali akafanikiwa kukileta kiumbe chini ya jua.

Basi naomba uungane nami katika kumpa sifa mwanamke kwa kuvumilia hayo yote. Na leo tumpe sifa. Ni kweli anasitahili sifa na ukitaka kushuhudia hilo ambatana nami katika makala hii, utashuhudia umahili wake.

Nakualika sasa kufuatilia mfululizo huu wa matukio kwenye picha, mwishoni utagundua umahili wake na hivyo kumpa heshima yake kama mwanamke au mwana dada, ambaye atatarajiwa kuitwa Mama hivi punde, au muda utakapo wadia kadili ya maamuzi yake.

Reasons to love a woman...

You can feel her Care in form of a Sister .....

JE, NI KWELI WANAUME WANAONGOZA KUSABABISHA NDOA  KUVUNJIKA?-2













You feel her Warmth in form of a friend ....

USIFANYE MAMBO YAFUATAYO UTAMSHAWISHI MUMEO KUTAFUTA KIMWANA NJE













You can feel her Passion in form of a Beloved ...

UNAVYOWEZA KUIFANYA SIKU YA WAPENDANAO IWE KUMBUKUMBU KWENU.



















You can feel her Dedication in a form of Wife .....


Harusi ya Mapacha (6 photos)



You can feel her Divinity in form of a Mother .....



You can feel her Blessing in form of a Grandmother .....



Yet she is so Tough ...



Her heart is so Tender ...

Umejifunza nini katika Siku  ya Wapendanao?





















So Naughty ....

Jinsi ya kurejesha furaha k atika penzi lako




















So Charming .....

Je, ni kweli wanaume wanaongoza kusababisha ndoa kuvunjika?



















So funy .....

UNAVYOWEZA  KKUFURAAHIA  VALENTINE UKIWA  MBALI  NA UMPENDAYE..



















So Sharing .....

JAMANI HAPPY VALENTINES' DAY LAKINI ZINGATIENI HAYA!




















So Melodious ....

 Serikali  yamchinjia Jaydee baharini





















She is a Woman ...






She is Life ....
Respect Her.....






No comments: