Friday, February 22, 2008

Mafanikio yanakujaje?

Wengi tunajiuliza hivi mafanikio yanakujaje?
Sijambo rahisi mtu kulala na kuamka asubuhi na kujikuta umekuwa Tajiri, hii ni ndoto, wengi wetu hatujishughulishi tunategemea kila kitu kinapatikana kwa urahisi.

Wahenga wanamisemo kama hii, fanya kazi kama mtumwa ili uishi kama Tajiri. Mtegemea cha nduguye hufa masikini. Ni kweli kwani hutakuwa na ma wazo mapya ya kuanzisha cha kwako.
Tuige mifano baadhi ya wasanii walioonesha msimamo wao katika maisha. Hii iwe changamoto kwako na kwangu.

Nyumbani kwa akina nanihii...











Thursday, February 21, 2008

Think of the future

Every one dreams to have a better future in his/her life, what have you plained to do in the future, never look on to day think of tomorrow also. Where would you be?

Take challenge now, try you level best not sweeping every thing for just of the sack of your stormach. The stormach will never tell you one day that i am satisfied always you will be filling hungry. Lern to know the future. Now i ask myself where am i?

Some are dreaming to have better houses it is also good dream. But put it now into Practice.

Nyumbani ni nyumbani

kwa arnold shwazeneger
kwa mike tyson
kwa mariah carey

kwa mgosi shelukindo

kwa pete sampras
kwa michael jordan

kwa george michael
kwa micahel shumacher

kwa sir elton john

kwa phil collins
kwa kelvin klein
kwa michael jackson

Jiji la Moshi

Usafi ni tabia
Nimeongelea kidogo huko nyuma kwamba ukiyatunza mazingira unaitunza afya yako na ni uhai pia. Kweli hapa tunajionea wenyewe ukweli halisi ni upi je hivi huoni kama inapendeza na wewe ukawa chachu ya kutunza mazingira na kuyaweka katika usafi wa namna hii?

MOSHI

Safari ya Moshi














Monday, February 18, 2008

Je, umegundua kipaji chako!

Fanya juhudi uweze kugundua kipaji chako, kwani naamini kwamba kila mmoja wetu amepewa na Mungu karama fulani, nawapongeza watoto hawa kwa kuwa chachu kwa wenzeo katika kugundua vipaji vyao na kuwa fundisha wengine.

Bado unanafasi ya kukikuza kipaji chako


VIPAJI VYA VIJANA












Kijana anavua suruari

VIPAJI VYA VIJANA













Kijana anaendeleza mapigo

VIPAJI VYA VIJANA















Kijana akijiandaa kuvaa suruali akiwa yuko juu ya kamba akiwa angani.

VIPAJI VYA VIJANA

















Hii ni kali kunakila sababu za kukuza kipaji hiki
Hawa ndiyo vijana wanotisha umri wao ni kati ya miaka 10 na 11

Violeth & Coletha:miaka 10, vipaji vya kutisha














Hapa wapo kwenye jalamba la Sarakas

Violeth & Coletha:miaka 10, vipaji vya kutisha

Sunday, February 17, 2008

Ujio wa Bush Tanzania 2008

Haya ni matukio ya Kihistoria ambapo, itapita miaka mingi mtu kama huyu asikanyage tena katika nchi yetu, hivyo basi hatunabudi kuweka kumbukumbu kwa hilo. 16,Febr 2008
Tarehe tajwa hapo juu Rais wa Marekani atua Dar na kupokewa kwa shwangwe katika viwanja vya Njerere Dar.

Hapa chini ni mtukio yaliyoendele baada ya kutua hapa nchi. Picha zote kwa uhisani wa Kaka Michuzi.

Ujio wa bush
mama wa kwanza salma kikwete na mama wa kwanza wa marekani laura bush wakiongozana na george bush
paparazi wa bongo wakiwa sehemu yao
bendera za marais zikipepea

air force one
dege la bush likitua
mguuuu sawa!
rais george bush wa marekani na mai waifu wake laura wakiwasili
rais george bush na mama wa kwanza wa marekani wakitelemka toka ndegeni
jk akimpa tafu mgeni wake wakati wa kukagua gwaride


Ujio wa george w. bush
mh. sofia simba akimkaribisha bongo condoleezza rice rais bush akisalimiana na waziri wa mabo ya ndani mh. lawrence masha
rais bush akionekana kusifia tenge alilokula mh. margareth sitta
rais george bush akisalimianaa na katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani mh. patrick mombo na mbele ni katibu mkuu kiongozi mh. philemon luhanjo
jk na mgeni wake


Ujio wa bush
jamaa na dogi wake wakicheki kama kuna noma
waandishi wakiwa wamezungukwa na jamaa wakisuburi mgeni
majamaa walikuwa hawaamini mtu
jack bauer naye alikuwepo akivinjari kwa mbali na ndinga lake
mizinga 21 inaapigwa kwa heshima ya george w. bush
jk na bush ikulu
jk na mamia ya wadau wakimkaribisha mgeni wao ikulu leo

Jk na mgeni wake hospitali ya amana

leo mgeni katembelea hospitali ya amana, ilala

Bushi akiwa Arusha bush akitembelea shule
bush akiwa na kinamama wa kimasai
bush akipokewa a-taun
bush akisalimiana na wafanyakazi wa hospitali ya mount meru
bush na laura wakiwa na baadhi ya wagonjwa waliofuata huduma hospitali ya mount meru



bush akiwa na wamasai
bush akipiga stori na dk. aziz msuya wa hospitali ya wilaya ya mount meru