Monday, January 28, 2008

You are a unique Person

Kila moja wetu ana maelekeo yake ambayo kwa kiasi fulani huweza kulandana na mwingine, lakini kwa asilimia nyingi kila mmoja wetu ni wa aina yake. Hakuna anayeweza kuwa na maelekeo asilimia 100% sawa na mwingine.

Nikawa natafakari juu ya usemi wa kwamba, je inawezekana kumfahamu mwanadamu kadili ya maelekeo yake na kuthibitishwa kutenda kwake na mtu mwingine kwa kigezo kwamba tunamfahamu mtu fulani na kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje?

Nimekundua kwamba ni swali gumu kujibu, kwamba huyu mwanadamu anafahamika kiasi cha mtu mwingine kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje kama anavyomafahamu.

Jibu langu la moja kwa moja bila mzunguko ni kwamba mwanadamu ni kiumbe kigumu kufahamika kirahisi, tunachoweza kufanya ni kuoanisha tabia na maelekeo yake na kujumuisha tukiwa na maana kwamba huyu mtu kwa kuwa anapendelea hiki na kile basi yupo hivi, au anatabia hii, lakini kwa yeye mwenyewe ni vigumu kumfahamu. 'He is a complecated living creature'.

Sababu za kuthibitisha kutofahamika kirahisi kwa mwanadamu


  • Anamaelekeo tofauti na mwingine na mahitaji tofauti
Si kweli kwamba kila unachohitaji wewe na mwingine anahitaji hichohicho. Hii ni sababu moja wapo ya watu kutofautiana kimahitaji.

  • Hisia katika kupokea au kutenda jambo zinatofautiana
Wapo wenye hisia kali na wasitani, wengine hisia hizo hawana, kwao yote ni mamoja tu.

  • Mwanadamu amegawanyika katika makundi manne
Unaposema unamfahamu mtu mfalani ni kwa upande moja tu, na kwa upande mwingine huyu unaye mwongelea nina uhakika kwamba humu fahamu.
Bongo Sun Girl

Kwani binadamu yoyote yule kwa yeye mwenyewe anaweza kujielezea kidogo, kwani yapo mambo ambayo ni siri yake hata rafiki yake hayajui: na nafasi nyingine ya kujifahamu kwake inachukuliwa na rafiki yake.

Wakati nafasi nyingine inachukuliwa na jamii husika anapoishi, nao hawa wana mwelewa kiasi fulani tu, kwani katika nafasi hii rafiki hawezi kuelezea.

Na nafasi nyingine inachukuliwa na Mungu anayefahamu maelekeo yetu na tunachofikiri kutenda kesho au mwakani yeye anajua mwisho wa maisha yetu utakuwa wa namna gani, katika nafasi hii hakuna anayeweza kuelezea nini mimi nafikiria kutenda baada ya dakika kumi zijazo zaidi ya Mungu, anayeifahamu dhamiri yangu.


Usi changanye kati ya ratiba uliyojipangia kufanya baada ya muda fulani na kujifahamu kwako, haya ni mamo mawili tofauti.

Zifahamu hatua zingine 13 juu yako 'Other facts about you'


1. Someone in this world Loves you , in some way.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

2. A smile from you, can bring happiness to anyone, even if they
don't like you.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
3. Every night, SOMEONE thinks about you before they go to
sleep.


4. You mean the world to someone.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
5. Without you , someone may not be living.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
6. You are special and unique , in your own way.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
7. Someone that you don't know even exists , loves you.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


8. When you make the biggest mistake ever, something good comes
from it.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


9. When you think the world has turned it's back on you, take a
look, you most
likely turned your back on the world.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

10. When you think you have no chance at getting what you want,
you probably won't get it, but if you
believe in yourself,
you probably sooner or later will get it.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


11. Always remember complements you received, forget about the
rude remarks.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


12. Always tell someone how you feel about them, you will feel
much
better when t! hey know.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

13.

If you have a great friend, take the time to let them know
that they are great. If you choose, send this letter to as
many people as you care about, you'll brighten up someone's
day, and might change their perspective on life, for the better!







No comments: