Sunday, February 17, 2008

Ujio wa Bush Tanzania 2008

Haya ni matukio ya Kihistoria ambapo, itapita miaka mingi mtu kama huyu asikanyage tena katika nchi yetu, hivyo basi hatunabudi kuweka kumbukumbu kwa hilo. 16,Febr 2008
Tarehe tajwa hapo juu Rais wa Marekani atua Dar na kupokewa kwa shwangwe katika viwanja vya Njerere Dar.

Hapa chini ni mtukio yaliyoendele baada ya kutua hapa nchi. Picha zote kwa uhisani wa Kaka Michuzi.

Ujio wa bush
mama wa kwanza salma kikwete na mama wa kwanza wa marekani laura bush wakiongozana na george bush
paparazi wa bongo wakiwa sehemu yao
bendera za marais zikipepea

air force one
dege la bush likitua
mguuuu sawa!
rais george bush wa marekani na mai waifu wake laura wakiwasili
rais george bush na mama wa kwanza wa marekani wakitelemka toka ndegeni
jk akimpa tafu mgeni wake wakati wa kukagua gwaride


Ujio wa george w. bush
mh. sofia simba akimkaribisha bongo condoleezza rice rais bush akisalimiana na waziri wa mabo ya ndani mh. lawrence masha
rais bush akionekana kusifia tenge alilokula mh. margareth sitta
rais george bush akisalimianaa na katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani mh. patrick mombo na mbele ni katibu mkuu kiongozi mh. philemon luhanjo
jk na mgeni wake


Ujio wa bush
jamaa na dogi wake wakicheki kama kuna noma
waandishi wakiwa wamezungukwa na jamaa wakisuburi mgeni
majamaa walikuwa hawaamini mtu
jack bauer naye alikuwepo akivinjari kwa mbali na ndinga lake
mizinga 21 inaapigwa kwa heshima ya george w. bush
jk na bush ikulu
jk na mamia ya wadau wakimkaribisha mgeni wao ikulu leo

Jk na mgeni wake hospitali ya amana

leo mgeni katembelea hospitali ya amana, ilala

Bushi akiwa Arusha bush akitembelea shule
bush akiwa na kinamama wa kimasai
bush akipokewa a-taun
bush akisalimiana na wafanyakazi wa hospitali ya mount meru
bush na laura wakiwa na baadhi ya wagonjwa waliofuata huduma hospitali ya mount meru



bush akiwa na wamasai
bush akipiga stori na dk. aziz msuya wa hospitali ya wilaya ya mount meru


No comments: