Napenda kutoa heshima zangu pia kwa hawa waliotunukiwa zawadi hizi, tukianzia na Kaka Michu mpaka wa mwisho pale chini, dada zangu naomba niwapongeze kwa juhudi na maalifa yenu. Mmekuwa mashahidi kwa watu kwa kuwajulisha kuwa mwanamke akipewa nafasi anaweza pia kufanya makubwa kuliko alivyofikiriwa. Asanteni Ndugu zangu.
Tuzo za redd's kwa waliochakarika
juu Rita Paulsen bosi wa benchmark production
na chini ni mbunifu wa mitindo hilda bandioKatika kuadhimisha siku ya wapendanao mwaka huu Redd's imewatunukia tuzo ya utambuzi wa kazi zilizotukuka wanawake kadhaa mashuhuri pamoja na globu hii katika sherehe fupi ilofanyika jana hoteli ya holiday inn, dar. mgeni rasmi alikuwa balozi wa redd's victoria martin na mrtibu alikuwa 'kiongozi' mpeli nsekela
No comments:
Post a Comment