Fanya juhudi uweze kugundua kipaji chako, kwani naamini kwamba kila mmoja wetu amepewa na Mungu karama fulani, nawapongeza watoto hawa kwa kuwa chachu kwa wenzeo katika kugundua vipaji vyao na kuwa fundisha wengine.
Bado unanafasi ya kukikuza kipaji chako

Kijana anavua suruari
Kijana anaendeleza mapigo

Kijana akijiandaa kuvaa suruali akiwa yuko juu ya kamba akiwa angani.

Hii ni kali kunakila sababu za kukuza kipaji hiki
Hawa ndiyo vijana wanotisha umri wao ni kati ya miaka 10 na 11

Hapa wapo kwenye jalamba la Sarakas
No comments:
Post a Comment