skip to main |
skip to sidebar
Mheshimiwa Jk na Waziri Mkuu Pinda
Waziri Mkuu mpya akiwa katika pozi na Mheshimiwa Jk, kichwa cha watanzania bara na visiwani, katika kuhakikisha maisha bora kwa watu wote. Swali langu ni hili Je, ndoto yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania itatimia?Bega kwa bega
No comments:
Post a Comment