Wengi wanajiuliza swali huyu mwandishi amerukwa akili nini! Au anawahusudu sana akina dada nini! Ni swali rahisi kujibu bila mama wewe ungekuwepo, utanijibu haaa! We umepagawa, na yeye bila mimi kurutubisha yai angeitwa mama? Sasa nani apewe heshima jamani aliyerutubisha yai au aliyeleta kiumbe hai duniani kwa kukitunza miezi tisa tumboni na baadaye kwa maumivu makali akafanikiwa kukileta kiumbe chini ya jua.
Basi naomba uungane nami katika kumpa sifa mwanamke kwa kuvumilia hayo yote. Na leo tumpe sifa. Ni kweli anasitahili sifa na ukitaka kushuhudia hilo ambatana nami katika makala hii, utashuhudia umahili wake.
Nakualika sasa kufuatilia mfululizo huu wa matukio kwenye picha, mwishoni utagundua umahili wake na hivyo kumpa heshima yake kama mwanamke au mwana dada, ambaye atatarajiwa kuitwa Mama hivi punde, au muda utakapo wadia kadili ya maamuzi yake.

Reasons to love a woman...

You can feel her Divinity in form of a Mother .....
You can feel her Blessing in form of a Grandmother .....

Yet she is so Tough ...
Her heart is so Tender ...
So Naughty ....

So Sharing .....

So Melodious ....

Respect Her.....
You can feel her Passion in form of a Beloved ...
You can feel her Blessing in form of a Grandmother .....

Yet she is so Tough ...
Her heart is so Tender ...
So Naughty ....
So Charming .....
So funy .....
So Sharing .....
So Melodious ....
She is a Woman ...
She is Life ....

No comments:
Post a Comment