Nikawa natafakari juu ya usemi wa kwamba, je inawezekana kumfahamu mwanadamu kadili ya maelekeo yake na kuthibitishwa kutenda kwake na mtu mwingine kwa kigezo kwamba tunamfahamu mtu fulani na kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje?
Nimekundua kwamba ni swali gumu kujibu, kwamba huyu mwanadamu anafahamika kiasi cha mtu mwingine kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje kama anavyomafahamu.
Jibu langu la moja kwa moja bila mzunguko ni kwamba mwanadamu ni kiumbe kigumu kufahamika kirahisi, tunachoweza kufanya ni kuoanisha tabia na maelekeo yake na kujumuisha tukiwa na maana kwamba huyu mtu kwa kuwa anapendelea hiki na kile basi yupo hivi, au anatabia hii, lakini kwa yeye mwenyewe ni vigumu kumfahamu. 'He is a complecated living creature'.
Sababu za kuthibitisha kutofahamika kirahisi kwa mwanadamu
- Anamaelekeo tofauti na mwingine na mahitaji tofauti
- Hisia katika kupokea au kutenda jambo zinatofautiana
- Mwanadamu amegawanyika katika makundi manne
Usi changanye kati ya ratiba uliyojipangia kufanya baada ya muda fulani na kujifahamu kwako, haya ni mamo mawili tofauti.
Zifahamu hatua zingine 13 juu yako 'Other facts about you'
1. Someone in this world Loves you , in some way.
2. A smile from you, can bring happiness to anyone, even if they
don't like you.
3. Every night, SOMEONE thinks about you before they go to
sleep.
4. You mean the world to someone.
5. Without you , someone may not be living.
6. You are special and unique , in your own way.
7. Someone that you don't know even exists , loves you.
8. When you make the biggest mistake ever, something good comes
from it.
9. When you think the world has turned it's back on you, take a
look, you most likely turned your back on the world.
11. Always remember complements you received, forget about the
rude remarks.
12. Always tell someone how you feel about them, you will feel
much better when t! hey know.
No comments:
Post a Comment