Wednesday, January 30, 2008

Mifano katika maisha hufundisha mengi

Katika maisha hatuhitaji kusema mengi ili kuwaongoza au kuwafundisha watu, mala nyingine tuwape tu mifano. Kutokana na hiyo mifano watajifunza maisha ni nini.

Hebu mshudie huyu hapa chini. Anatoa somo suri sana la kujithamini na anatoa nguzo katika humili vikumbo katika maisha ambavyotunakutananavyo au kusababishiwa.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

ONE PARAGRAPH THAT EXPLAINS LIFE!




From world over, he received letters from his fans, one of which conveyed: "Why does GOD have to select you for such a bad disease"?


To this Arthur Ashe replied:
500,000 learn professional tennis, 50,000 come to the circuit, 5000 reach the grand slam, 50 reach Wimbledon, 4 to semi final, 2 to the finals,


when I was holding a cup I never asked GOD 'Why me?'.

And today in pain I should not be asking GOD 'Why me?' "

Happiness keeps you Sweet,

Trials keep you Strong,

Sorrow keeps you Human,

Failure keeps you humble and Success keeps you glowing, but only Faith & Attitude Keeps you going...

Monday, January 28, 2008

You are a unique Person

Kila moja wetu ana maelekeo yake ambayo kwa kiasi fulani huweza kulandana na mwingine, lakini kwa asilimia nyingi kila mmoja wetu ni wa aina yake. Hakuna anayeweza kuwa na maelekeo asilimia 100% sawa na mwingine.

Nikawa natafakari juu ya usemi wa kwamba, je inawezekana kumfahamu mwanadamu kadili ya maelekeo yake na kuthibitishwa kutenda kwake na mtu mwingine kwa kigezo kwamba tunamfahamu mtu fulani na kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje?

Nimekundua kwamba ni swali gumu kujibu, kwamba huyu mwanadamu anafahamika kiasi cha mtu mwingine kuelezea wadhifa wake wa ndani na nje kama anavyomafahamu.

Jibu langu la moja kwa moja bila mzunguko ni kwamba mwanadamu ni kiumbe kigumu kufahamika kirahisi, tunachoweza kufanya ni kuoanisha tabia na maelekeo yake na kujumuisha tukiwa na maana kwamba huyu mtu kwa kuwa anapendelea hiki na kile basi yupo hivi, au anatabia hii, lakini kwa yeye mwenyewe ni vigumu kumfahamu. 'He is a complecated living creature'.

Sababu za kuthibitisha kutofahamika kirahisi kwa mwanadamu


  • Anamaelekeo tofauti na mwingine na mahitaji tofauti
Si kweli kwamba kila unachohitaji wewe na mwingine anahitaji hichohicho. Hii ni sababu moja wapo ya watu kutofautiana kimahitaji.

  • Hisia katika kupokea au kutenda jambo zinatofautiana
Wapo wenye hisia kali na wasitani, wengine hisia hizo hawana, kwao yote ni mamoja tu.

  • Mwanadamu amegawanyika katika makundi manne
Unaposema unamfahamu mtu mfalani ni kwa upande moja tu, na kwa upande mwingine huyu unaye mwongelea nina uhakika kwamba humu fahamu.
Bongo Sun Girl

Kwani binadamu yoyote yule kwa yeye mwenyewe anaweza kujielezea kidogo, kwani yapo mambo ambayo ni siri yake hata rafiki yake hayajui: na nafasi nyingine ya kujifahamu kwake inachukuliwa na rafiki yake.

Wakati nafasi nyingine inachukuliwa na jamii husika anapoishi, nao hawa wana mwelewa kiasi fulani tu, kwani katika nafasi hii rafiki hawezi kuelezea.

Na nafasi nyingine inachukuliwa na Mungu anayefahamu maelekeo yetu na tunachofikiri kutenda kesho au mwakani yeye anajua mwisho wa maisha yetu utakuwa wa namna gani, katika nafasi hii hakuna anayeweza kuelezea nini mimi nafikiria kutenda baada ya dakika kumi zijazo zaidi ya Mungu, anayeifahamu dhamiri yangu.


Usi changanye kati ya ratiba uliyojipangia kufanya baada ya muda fulani na kujifahamu kwako, haya ni mamo mawili tofauti.

Zifahamu hatua zingine 13 juu yako 'Other facts about you'


1. Someone in this world Loves you , in some way.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

2. A smile from you, can bring happiness to anyone, even if they
don't like you.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
3. Every night, SOMEONE thinks about you before they go to
sleep.


4. You mean the world to someone.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
5. Without you , someone may not be living.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
6. You are special and unique , in your own way.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
7. Someone that you don't know even exists , loves you.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


8. When you make the biggest mistake ever, something good comes
from it.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


9. When you think the world has turned it's back on you, take a
look, you most
likely turned your back on the world.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

10. When you think you have no chance at getting what you want,
you probably won't get it, but if you
believe in yourself,
you probably sooner or later will get it.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


11. Always remember complements you received, forget about the
rude remarks.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


12. Always tell someone how you feel about them, you will feel
much
better when t! hey know.

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

13.

If you have a great friend, take the time to let them know
that they are great. If you choose, send this letter to as
many people as you care about, you'll brighten up someone's
day, and might change their perspective on life, for the better!







Saturday, January 26, 2008

Wema na ubaya wa mtu

Kwa kawaida kila mtu anawema wake na ubaya wake. Kwani tunaamini kwamba hakuna aliyemkamilifu kwa kila jambo.

Viongozi wanatumia vigezo vipi wanapotoa hukumu juu ya mtu kuwa huyu hatufai kuwa katika ushirika nasi? Hili limekuwa swali kubwa kwangu kwani wapo ambao tumewapoteza si kwa sababu hawafai kuwa kwa mfano watawa, mapadri, walimu, madaktari, au kuwa watu wenyewadhifa fulani katika jamii, ila kwa sababu ya tofauti za kawaida kati yake na kiongozi wake, anajikuta anaipoteza nafasi aliyoitegemea katika jamii.

Narudi kwenye swali langu, kwamba hawa viongozi wanaochukua dhamana ya maisha ya hawa watu, je, wanatumia vigezo vipi kutoa hukumu juu yao?

Dondoo nilizoziona kuwa zinakuwa kigezo cha mtu kutumia kumhukumu mwingine


Kijana kuonekana akimbishia mlezi wake, hata katika uhalisia wa jambo
Wapo waliofukuzwa kwa kuwa tofauti na walezi wao kwa kuwa hawakubaliani na mawazo yao katika kulelewa.

Upeo tofauti wa Elimu
Mlelewa anauelewa zaidi kuliko mlezi wake. Hivyo kupelekea wasiwasi kwa mlezi juu ya mlelewa wake na kumwona mtu wa majivuno. Na mlezi kujisikia inferior.

Kutofautiana kwa damu
Nikiwa na maana kwamba mlezi anamwono tofauti toka siku ya kwanza anapomwona hivyo anajenga uadui baina yake na mlelewa pasipo kuwa na sababu yoyote ya msingi.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda na anavyozidi kumfahamu kijana ndivyo anavyozidisha uadui kwa kijana. Kwani nafasi kubwa ya mlezi ni kumwongoza kijana, na kumwonesha njia ya kupita lakini huyu ataelekea zaidi kutafuta mapungufu ya kijana. Ili aweze kumtoa.

Kuwa mlezi ni karama, au kipaji
Si kila mmoja anaweza kuwa mlezi. Wapo waliopewa dhamana hii ingawa kwa wenyewe hawana mwelekeo nayo. Lakini kwa kuwa wanataka kuonekana katika jamii na kuheshimika wanajikuta wanapokea madaraka amboyo hawayawezi, na hivyo ufanisi wake kuwa kuwa kitendawili kwao.

Mlezi kutumia zaidi sheria badala ya upendo
Wapo walezi tuliowashuhudia wakitumia sheria zaidi badala ya upendo. Kuitwa mlezi ni dhamana kubwa unayokabidhiwa kutunza Roho za watu.
Na haina maana kwamba uvimbe kichwa na kufanya unalotaka juu ya wale unaowalea. Badala yake uanatakiwa kuwa kama Mama au Baba katika kuwalea kundi ulilokabidhiwa.

Kumbuka kwamba utaitwa kutolea hesabu mbele yake yeye aliyekuumba, je utatoa hesabu ya wangapi umewafukuza au utatoa hesabu ya wangapi umefanikiw kuwafikisha kwake kadili ya mwongozo wake. Unapaswa kuwa nuru ya mwanga kwa wale unaowaongoza. Kemea panapo paswa kukemea, umpe mwanga kijana anapoelekea kupotea njia. Sifu pale kijana anapopaswa kusifiwa.


Kutokukubaliana na ukweli wa mabadiliko ya wakati
Wapo walezi ambao hawaendani na walelewa wao kutokana na ukweli kwamba wanatofautiana katika nyakati za kukua kimaisha.

Nikiwa na maana kwamba mlezi ni mtu wa mwaka 47, na mlelewa ni mtu wa karne ya 21, unategemea kwamba kutakuwa na uwiano wa mawazo kati ya hawa watu. kwani tayari mlelezi anatofauti kubwa sana na mtazamo tofauti wa mambo kuliko kijana. Hivyo kijana kutoridhika na mlezi na mlezi kutoridhika na walelewa wake.
Katika mazingira haya tegemea kuwepo kwa migongano mbali mbali na hata kuwapoteza baadhi ya vijana.


SINTA   NI  MAREHEMU JAMANI

















Niliamini kwamba wanadamu kwa kuwa na upeo wa akili tutakuwa na uwezo wa kupendana kama wanadamu lakini nimekuja kugundua kuwa anayeweza kukuangamiza ni ndugu yako wa damu au rafiki yako mpendwa. Toka hapo nikajifunza mambo yafuatayo:-
Usipende kumwamini kila mtu
Si kila unayemwomba ushauri atakupa ushauri bora
Na si kila mwenye kipara au mwenye mvi anahekima au busara.



Wednesday, January 23, 2008

You are Luck to have me as your friend

Fahamu kwamba kumpata rafiki atakaye kafaa katika shida na raha si jambo rahisi, inategemea sana msaada wa Mungu na nguvu ya Roho Mtakatifu kukuonesha mtu sahihi wa kufaa kuishi naye au rafiki atakaye weza kukuelewa vilivyo.

Hebu chukulia kwamba uliye naye sasa ndiye rafiki wa kweli, ikiwa kunatofauti baina yenu mziongelee ili kuwekana sawa.

Mambo 6 yanayowapagawisha wanaume

Hutampata aliyebora au kutokuwa na mapungufu zaidi ya huyo uliyenaye mfanye huyu abadili mwelekeo wake wa maisha ili awe wakukufaa wewe, usiende kutamfuta mwingine utakayemtegemea kuwa atakuwa bora zaidi, cha msingi nikumbadili huyu kuwa mtu wa kupendeka.

Mpe nafasi awezekubadili mwelekeo wake wa maisha, kwa kufanya hivyo utakuwa umempata rafiki wa kukufaa wewe katika maisha iwe ya raha au ya taabu.


Hapa najaribu kukuletea baadhi ya kweli katika maisha, zina unaujumbe mrua sana kama utazingatia na kwa namna hiyo basi kuboresha uhusiano wako na wale tuwapendao.Ndugu yangu wewe upo wapi?

Uwe mvumilivu ukiona picha hazionekani basi jaribu kufungua wakati mwingine utapata picha pamoja na ujumbe wake. Kumradhi msomaji wangu.


FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR



People come into your life for a REASON, A SEASON or A LIFETIME.

When you know which
one it is, you will know what to do for that person.

When someone is in your life for a REASON, it is usually to meet a need you have expressed.

They have come to assist you through a difficulty, to provide you with guidance and support,to aid you physically, emotionally or spiritually.

They may seem like a godsend and they are. They are there for the reason you need them to be.

Then, without any wrongdoing on your part or
at an inconvenient time, this person will say or do something to bring the relationship to an end. Sometimes they die. Sometimes they walk away. Sometimes they act up and force you to take a stand.

What we must realize is that our need has been met, our desire fulfilled, their work is done. The prayer you sent up has been answered and now it is time to move on.

Some people come into your life for a SEASON, because your turn has come to share, grow or learn.They bring you an experience of peace or make you laugh.They may teach you something you have never doneThey usually give you an unbelievable amount of joy. Believe it, it is real. But only for a season.


FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

LIFETIME relationships teach you lifetime lessons, things you must build upon in order to have a solid emotional foundation.

Your job is to accept the lesson,
love the person and put what you have learned to use in all other relationships and areas of your life.

It is said that
love is blind but friendship is clairvoyant.


FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

Thank you for being a part of my life, whether you were a reason, a season or a lifetTime.


Na hawa watoto wanajaribu kuonanesha upendo wao, Wahenga walisema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Je, wewe familia yako unailea katika mwelekeo upi. Unawapa elimu ya kujua kujitegemea kwa maisha yao ya baadaye?
Au unafikiri si jukumu lako kuwatekelezea hilo kwa sababu wewe huku tekelezewa hilo na wazazi wako? Ndugu yangu ikiwa unafanya hivyo unawanyima haki yao ya msingi ya kupata Elimu. Huja chelewa baridi mawazo yako sasa na uanze kuwasomesha hao watoto sasa.




FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR








Jitahidi uwe sababu ya mwingine kuwa na furaha

Katika maisha unapaswa kuwa sababu ya furaha kwa mwingine, lakini kinyume chake wengi tumekuwa sababu ya huzuni kwa wapendwa ama marafiki zetu. Mimi binafsi nimejiuliza maswali kadhaa nikiwa na lengo la kutaka kujua kwa nini tunakuwa mara nyingi sababu ya kuwafanya watu wengine kuwa na huzuni? Nika ng'amua kwamba mara nyingi haturidhiki na mafanikio ya wenzetu na hasa pale wanapooneka kuwa na mafanikio zaidi ya sisi.
Jambo lingine ambalo nimefikia mwafaka ni kwamba, hatuchukui nafasi kuwa fahamu wapendwa wetu, ama marafiki zetu. Tunajikuta tupo nao katika mahusiano lakini sisi kwa sisi hatufahamiani kwa kina nikiwa na maana ya :-
  • Kwanza kutambua maelekeo ya mwingine
  • Na kwa wapenzi kutambua mahitaji yako na ya mwenzako
  • Kuongelea juu ya tofauti zinazojitokeza baina yetu na kuzipa suruhisho
  • Kufahamu mipaka katika mahusiano yetu na Marafiki zetu na hata wapenzi wetu
  • Jambo lingine ni kuwa na mtazamo chanya juu ya mpendwa wetu au mwandani wako
  • Kuaminiana ni jambo mhimu na katika kukuza mahusiano baina yetu
  • Na sisi tulio marafiki tuwe waaminifu wa kutunza siri za wale marafiki zetu
  • Muwe watu wa kuelezana mahitaji yenu, ungependa mpenzi akufanyie nini na wewe umfanyie nini.
  • Epukeni kulaumiana, kuuziana majungu hakukuzi mahusiano yenu zaidi ya kuwatenganisha
  • Kaeni pamoja na kuongelea maisha yenu ya baadaye mnapenda yawe ya mtindo gani
Nimekuwekeeni baadhi ya kweli zingine hapa chini ili kuwa na mwelekeo katika maisha. Jaribu kutafsiri nini maana ya maisha kwa kadiri ya mtazamo wako au kwa kadiri ya uwezo wako wa kutafsiri mambo mbali mbali unavyoyaona katika kuishi kwako, yana mana gani kwako na kwa mahusiano yako na wale uwapendao.


These are the facts of life.




FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

Justify FullFunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaRJustify Full

FunAndFunOnly (www.mails4u.net.tc) - SridhaR



Monday, January 21, 2008

Whom you Love, and Whom you Like

Pata ufafanuzi zaidi kwenye jendwali hilo ili uweze kujiachia vilivyo unapokuwa na mwandani wako, wahenga walisema ' Kila shetani anambuyu wake' .


www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

Tofauti baina ya Kumjua na kumfahamu mtu

Lugha yetu sasa inakuwa, ninafurahi kwamba tuna maneno yanayoweza kuelezea lugha ya Upendo wa kawaida na upendo wa kina au wa hisia. Na maneno hayo ni ' nani unamfahamu' na 'nani unamjua' kwenye kiingeleza ni sawa na maneno kama 'Love and Like'.

Haya maneno haya yanaweza kupamba sanaa ya Kiswahili na mtu akaelewa zaidi ya neno linavyojieleza, kwa maneno mengine ningeweza kusema maneno haya yanachukua pia lugha ya picha ambapo mtu unahitaji kweli kuwa na picha halisi ya jambo lenyewe unapotaka kutofautisha na lingine.

Mwanaume anauweza wa kumjua mwanamke na hawa wawili wakawa mwili mmoja kwa kubariki ndoa yao Kanisani au kwa ndoa ya mkeka. Mwanamme hanauwezo wa kumjua mwanaume mwenzake isipo kuwa anamtamfahamu tu ni kiwa na maana kwamba Mungu alitoa ruhusa ya mme kumjua mke na sio Mwanaume kumjua mwamme mwenzake hapa mambo haya endi hivi.

Mimi binafsi napinga sana Ushoga na ndoa za wanaume kwa wanaume, huu haukuwa mpango wa Mungu kumwumba mwanadamu, kama ulikuwa hivyo basi asingali uchukua ubavu wa Adamu na kumwumba mwanamke awe msaidizi wake.

Kwani ukifuatilia Biblia kitabu cha Mwanzo sura za mwanzoni tu, ambapo Mungu anazungumzia zaidi juu ya swala la uumbaji wa Mbingu utagundua kwamba ni kwa vipi wanadamu tumeingia wehu wa kuoana wanaume kwa wanaume, kitu ambacho haukuwa mpango wa Mungu.

Ni nakushauri ndungu yangu na mpendwa wangu mara nyingi sisi viongozi wenu tunawapotosha njia kwa sababu tu ya kutaka masirahi binafsi, sasa nakushauri tumia busara kufanya jambo jiulize sababu za wewe kujiunga na jambo furani.

Ukiona kunafaida basi chukua uamzi, lakini ukigundua kwamba kunahasara zaidi, hata hapo pi huna budi kuchukua uamuzi wa kuachana na njia hiyo kwa nini kujifedhehesha kwa jambo lisilo na msingi?

Endelea kufaidi dondoo nyingine Juu ya mahusiano katika jamii

www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)

Sunday, January 20, 2008

Upendo wa kweli

Kila mmoja wetu natumaini angetamani sana au ajue ukweli kuhusu marafiki na wapendwa wetu, basi huu ndiyo ukweli kuhusu upendo.

Mtu anaweza kujiuliza maswali mengi kuwa hivi rafiki wa kweli ni nani, na huenda akaendelea kujihoji rafiki wa kweli anakuwa na ishara gani, basi kwa ujumla tunakuwa na maswali mengi vichwani mwetu kuhusu ukweli juu ya yupi ni rafiki wa kweli.

Basi hapa chini nimekuletea dondoo ambazo zitawezakukusadia kujua yupi ni rafiki wa kweli na utampata wakati gani, na anasifa gani.

Mpendwa msomaji usichukue muda mwingi kuumiza kichwa kutafuta majibu ya yupi anaupendo wa kweli pia haya maelezo yanaweza kukupa picha halisi ya yupi ni mtu wa kuthaminiwa.

Ikiwa mtu anajitoa kwa ajili ya kuokoa maisha yako je wewe hupaswi kujitoa kwa ajili ya kuokoa maisha yake pia?

Na usipo fanya hivyo wewe utakuwa unashukrani ya punda kwani unatendewa mema lakini huonji wema, unachokirudisha kama fadhila ni maumivu kwa wema niliyokuetendea, jiulize wangapi wamenitendea mema na mimi badala yake ni melipa nini!

Nakutakia mafanikio mema katika kuukuza urafiki wako na yule umpendaye au na wale uwapendao.

Dondoo zenyewe


www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)


www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)
www.FunAndFunOnly.net (SridhaR)